Karibu kwenye uchambuzi wa kitabu cha How to Win Friends and Influence People kilichoandikwa na Dale Carnegie. Hiki ni moja ya vitabu ambavyo watu wengi wanakitaja kuwasaidia katika kuimarisha mahusiano yao na watu wengine na hata kuongeza ushawishi wao. Wote tunajua jinsi maeneo hayo mawili yalivyo muhimu kwenye kila eneo la maisha yetu. Kuanzia kwenye […]